Wewe ndugu yangu, Anon:Mar2,2012 02:10,wewe angalau umepigwa mwiko kichwani, mimi mwenzio nilipigwa kwenye "maninihino" yangu, na kuanzia leo nisahau kabisa kuhusu kupewa "unyumba" mpaka wiki hii nzima ipite. Hii ni habari kubwa yakhe. Na mimi niko hapa Seattle sijapata hata kupishana njiani na huyu mtu. Lakini kweli yupo hapa katika hiki kijiji chetu cha seattle?.
4 comments:
Kaka mgogoro huu unaleta.
Shehe tutazuiwa na wake zetu kutembelea Vijimambo. Miye nimepigwa na mwiko kichwani.
Mbona simjui huyu wakati mimi nakaa Seattle, vipi ameolewa?
Wewe ndugu yangu, Anon:Mar2,2012 02:10,wewe angalau umepigwa mwiko kichwani, mimi mwenzio nilipigwa kwenye "maninihino" yangu, na kuanzia leo nisahau kabisa kuhusu kupewa "unyumba" mpaka wiki hii nzima ipite.
Hii ni habari kubwa yakhe. Na mimi niko hapa Seattle sijapata hata kupishana njiani na huyu mtu. Lakini kweli yupo hapa katika hiki kijiji chetu cha seattle?.
Post a Comment