ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 3, 2012

IskaJoJo Photography (Tangazo)

Ninapenda kuwatangazia wateja waliopiga picha kwa IskaJoJo siku ya Vijimambo na wanahitaji ku-download picha zao watembelee http://www.iskajojophotography.com/, halafu bofya Gallery, na kwenye sehemu la Events wataona folder la Vijimambo. Maelezo yote yapo hapo.

Ukitaka ku-dowload picha, tafadhali chagua Downloads (ipo juu kabisa rangi ya light blue)


Kama una swali lolote au unataka picha yako iondolewe, tafadhali tuwasiliane kwa email: info@iskajojophotography.com au text (202.957.2157).

Ahsante, IskaJoJo

No comments: