ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 6, 2012

KANUMBA HATUNAE TENA
Steven Kanumba
Habari tulizozipata hivi punde na kuthibitishwa na Zahor Geofrey ambae pia ni muigizaji wa Bongo Movie, Steven Kanumba hatunae tena, Marehemu alikubwa na mauti alipoanguka ghafla nyumbani kwake Sinza na kukimbizwa Hospitali kwa sasa mwili wa marehemu upo Muhimbili.

Vijimambo itawaletea Habari zaidi Baadae

9 comments:

Anonymous said...

JAMANI OMG MUNGU AMUEKE PAHALA PEMA PEPONI

Anonymous said...

Yaani huyu jamaa nilikuwa namsikiliza kwenye blog ya michuzi alivyokuwa anongea kuhusu the big brother. sijui michuzi alikuwa anwaza nini mpaka kuikumbushia stori yake. Alipokuwa anahojiwa kipindi cha mikasi alimtaja Ray kuwa ni mbaya wake. Sasa sijui itakuwaje hapo. RIP Steeve. Hongera Luka maana hata michuzi bado hajairusha hii braking news.

Anonymous said...

Gone too soon love! R.I.P

Anonymous said...

Apumzike kwa Amani...on good friday...he was a good christian....we will miss him.

Anonymous said...

RIP Kanumba. Luke wewe ni kama BBC na ALjazira yetu hapa DMV.

Anonymous said...

R.I.P we will miss him. Was taking our country in another level of movies. Mungu ametoa mungu ametwaa. Mwenyezimungu amrehemu.

Anonymous said...

Very sad indeed. RIP. Hao watu wabaya mwachie Mungu atadeal nao.

Anonymous said...

yaani nimeshtuka sana.... nina mume lakini sipati kusema jamaa alikuwa ananichengua sana haswa akicheka na meno yake yaani nimeshtuka kama nilivyosoma msiba wa whitney houston.... kweli bongo tumefikiwa na msiba mkubwa.

RIP Kanumba sleep bro sleep

Anonymous said...

TULIMPENDA ILA MUNGU KAMPENDA ZAIDI. JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
AMEN