DC Nyarugusu (Timu ya Vijana)
Bongo Real (Timu ya Wazee)
Jumapili April 8, 2012 kutakua na mechi ya kukata na shoka kati ya Wazee ambayo inaundwa na wachezaji wengi wa timu ya Bongo Real yenye maskani yao hapa DMV na Vijana ambayo pia inaundwa na wachezaji wengi wanaochezea DC Nyarugusu.
Mpambano huu unataraijiwa kua Mkali na zawadi maalum ya pasaka kwa WanaDMV pia kutakuwepo na nyama choma karibuni wote
No comments:
Post a Comment