Evas (kushoto) akiwa kazini kwenye usiku wa Vijimambo huku akisaidiwa na Libe wakiendelea kutoa huduma kwa wadau wa Vijimambo
Libe akimuhudumia mdau wa Vijimambo (hayupo pichani) siku ya usiku wa Vijimambo Mirage Hall
Libe akiongea jambo na mdau wa Vijimambo (hayupo pichani) huku Evans akiwasikiliza.
------------------------------------------------------------------------------------------------------
Vijimambo itatoa shukrani za pekee kwa Evans na Libe kwa moyo, uzalendo na ukereketwa kwa Blog yao ya Vijimambo kusema ukweli Vijimambo sina kitu cha kuwalipa kitakacholingana na kazi nzuri mliyoifanya usiku wa vijimambo, Libe nashukuru pia kwa kusimamia vizuri Vijimambo Soccer Tournament hii imeonyesha jinsi gani ulivyokomaa kwenye uongozi, Mwenyezi Mungu awabariki, awatie nguvu, msichote, muendelee kuwa na moyo huu wa kujitolea kwani Jumuiya yetu inahitaji Wazalendo na wakereketwa kama nyinyi. asante
No comments:
Post a Comment