Mama Winny Case mama wa mtindo ya kufunga Khanga (mwenye kipaza sauti) akionyesha zawadi ya picha aliyotengezeza maalum kwa kumpa mama wa mitindo Asya Idarous Khamsini kwenye sherehe za Usiku wa Vijimambo zilizofanyika Jumamosi March 31, 2012, Mirage Hall.
Mama wa Mitindo Ma Winny Case akimkabidhi picha mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin
Mama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin akipokea zawadi ya picha toka kwa mama wa mitindo Ma Winny Case
Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin akionyesha zawadi ya picha alizopewa na Ma Winny Case
Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin akimshukuru Ma Winny Case
Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin akiwasifia Models wa Ma Winny Case
Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin akipata picha ya pamoja na Mama wa mitindo Ma Winny Case wakiwa pamoja na Models wa Ma Winny Case
Picha na NY Ebra
No comments:
Post a Comment