ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 4, 2012

MFUKO WA PESHENI WA LAPF WAPIGA TAFU KAMBI YA MASUMBWI

Picha juu na chini ni Meneja Mawasiliano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, AndrewKuyeyana (kulia) akimkabidhi baadhi ya vifaa vya mchezo wa Masumbwi kwa Katibu wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Nchini (BFT) Makore Mashaga Dar es salaam Leo, Kwa ajili ya mabondia wanaojiandaa kufuzu
mashindano ya Olimpic katikati ni Katibu Mkuu wa Balaza la Michezo Tanzania (BMT), Henry Lihaya.

No comments: