ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 4, 2012

MKUTANO WA TANZASEATTLE 3/31/2012 SEATTLE WA

 D.J.Dully smart
 mweka hazina hakua na mpinzani Jimmy Mkude na mama mwenye nyumba Bi Fatma Al Tamim ambaye pia ni katibu mkuu msaidizi,
 Msimamizi wa uchaguzi Dr.Ngai Mbilinyi wakiwa na Patrick Newman Msaidizi wa Mwenyekiti.
 Wanajumiya Seattle, WA wakipata chakula cha mchana baada ya mapumziko mafuti
  Bi Haliti Biubwa,Mwanahamisi Moya na Haroub Ali,
 Bi Samia Mshangama,katibu mkuu Kedmon Mapana na Cholo Ngazi
 Bi Mwanahamisi na Haroub
 Wanajumiya Seattle wakiendelea na chakula cha mchana baada ya mapumziko mafupi
 Kutoka shoto ni mayor wa seatlle ambae amechaguliwa kama katibu mwenezi mpya(public relations)Amin Dola wakiwa katika picha ya pamoja  na mwenyekiti mstaafu Emil Muta (kati) na katibu mkuu Kedmon Mapana
 Wanajumuiya wakijiandikisha na kuingia kwenye mkutano wa uchaguzi uliofanyika siku ya Jumamosi March 31, 2012 mjini Seattle, Washington State.
Mwenyekiti mustaafu, Emil Muta akiongea machache kwenye mkutano huo.
Kwa picha zaidi Bofya Read More

No comments: