Watanzania wakiwa ndani ya mkutano wa uchaguzi unaoendelea sasa hivi Mirage Hall Vijimambo itawaletea matokeo ya uchaguzi huu mara utakapo kamilika.
Watanzania wa DMV wakiwa wameitikia wito wa kuwachagua viongozi wao wakifuatilia mkutano kwa makini.
Wasimamizi wa uchaguzi wakiendelea kuweka mambo sawa.
Ujumbe kutoka Ubalozi wetu na wajumbe wajumuiya za Watanzania State za jirani wakifuatilia mkutano wa uchaguzi.
Watanzania wa DMV wakiwa ndani ya Mirage Hall wakifuatilia uchaguzi sasa hizi wameishapitisha Katiba.
Picha juu na chini ni umati mkubwa wa wanaDMV waliojitokeza kupiga kura kuwachagua Viongozi wa Jumuiya.
Wagombea wa uongozi wakipewa utaratibu wa upigaji kura.
1 comment:
uchaguzi hautakuwa wa haki, sababu watu wamepiga kampeni chafu sana hasa za udini, kila la kheri...hata mkuu wa blog ulikuwa umeiegemea upande mmoja, soon nitaandika waraka maalum to proof this.
Post a Comment