ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 12, 2012

MWANADIASPORA LOVENESS MAMUYA ALONGA NA VIJIMAMBO (TOLEO MAALUM)


MwanaDiaspora Loveness Mamuya akielezea historia yake kwa ufupi na ni kwanini amejitumbukiza kwenye kugombea Urais kwenye Jumuiya DMV na hii Video ni toleo maalum kawaida video kama hizi hutoka kila Jumatatu lakini kwa maombi ya wanajumuiya wa DMV waliomba wamsikilize mgombea mwingine wa Urais kabla ya Uchaguzi hapo Jumampili na Vijimambo imeitikia wito. MSIKILIZE

16 comments:

Anonymous said...

loveness nimekuelewa vizuri na wewe umekuwa mfano wa kuigwa umejitokeza kwenye mambo mengi na umesaidia sana na bila kuwa kiongozi sasa niwakati tukupe kura zetu bila kujali kuwa eti una elimu gani na unaozoefu gani kiongozi ni mtu amabe anaweza kujitolea bila kujali kitu chochote kwa ajili hiyo mimi nakupa kura yangu

Anonymous said...

Dada huyo anayekuinterview sijui alikuwa amesimama manake unamuangalia juu,unatakiwa uangalie kamera ndio watu watakuona vizuri na kuhisi unaongea nao.Anyway umejibu maswali vizuri najisikia raha kuendelea kukusikia ukiongea kutwa nzima.Wanawake juu juu zaidi.
Tutakuchagua.
Mdau.

Bagasa said...

Dada Lovenes, I’m overwhelmed to see that you are running for the highest position in our community. Congrats! You have good goals, however your flow isn’t so good.

Lovenes you are smart, social and have some good qualities -I’m disappointed that you are using gender card. Hio kizamani- Wewe kuwa mwanamke au mwanaume inatuhusu nini sisi? Tunataka kiongozi sio Jinsia ya mtu. You didn’t have to talk about you being a female- we see that you are a woman…. So what! Nilitegemea kusikia nini utatufanyia na sio gender yako- Hainihusu mimi.

In contrast to Iddi, I honestly think- Iddi did better job explaining himself than you have done. This is going to be a tough race- stay awake! I’m still doing my last evaluation before endorsing one of you. So far Idd has an advantage. I just being honest may be this will make one of you better. Is just my opinion- I’m neither wrong nor right- Hope I’m neither taken out of contexts nor personal.

Kenge said...

mbona alikuwa anahema hivyo? halafu mpwa inaelekea umekatakata vipande yaani, inaelekea hakuwa comfortable maskini. lakini kajitahidi, mwanzo mzuri

Anonymous said...

nina swali, je kuna uwezekano loveness na iddi wote wakawa viongozi,mi naona itakua poa.tulifikirie hilo jamani.

Anonymous said...

Dada najua kweli wewe ni mtu wa watu.Lakini ningekusapoti,lakini kwa kweli huyu jamaa unaoshindana nae,sidhani kama utamshinda,kwa huyo jamaa cv kali.na wana elimu ya nguvu.ingekuwa kama chaguzi za nyuma dada ningekupa tu.Lakini sasa hivi kazi ipo.....

Anonymous said...

baba mwana wa kijaluo sasa tunaanza kukosa imani na wewe, mbona comment zinazotumwa hatuzioni

Anonymous said...

Loveness, just be strong. Let some negative coments make you stronger and stronger. You did the best of you and you will surprize everybody for the overwhelming support from majority of voters. Do you remember what people said about Obama? Luka umejitahidi. Ila unapofanya mahojiano jaribu kuwa level moja na mtu unayeongea naye ili kupata verticle eye contact na siyo diagonal. Kina mama oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Anonymous said...

TUNATAKA VIDEO YA KINYEMI NA CHEREHANI.

Anonymous said...

Mdau wa pale juu ukumbuke kwamba kuwa na akili ya kuongoza watu akuitaji uwe umekwenda sana shule au Cv yako iwe kali(mfano Udaktari phD,au ata professor),kumbukeni nchi yetu Tanzania inaongozwa pia na watu wasomi lakini ndo haohao tunawalalamikia kwamba ni mafisadi napenda kutoa statistics Mfano Balali sialikuwa ni Msomi? ..je Elimu yake Imesaidia vp katika kuwakomboa watanzania?back to point mkumbuke kwamba Uongozi kama ni uito na mtu inabidi uwe na moyo wa kujitoelewa kwa manufaa ya wananchi au wanajumua waliokuweka pale.naomba pia nijibu swali la Mdau aliyesema Dada Loveness itakuwa ni vigumu kushinda..watanzania DMv inabidi mtoe fikira hizo ....Kwanini asiweze kushinda uchaguzi ...kumbukeni ata Mr Sugu alivyoshinda akuwa ana CV nzuri ya Elimu ..lakini Mungu kampa kipaji cha kuwa Kiongozi mzuri na kuweza kuongoza watu.
N mwishi ningependa kuwashauri watu...wampe kura mtu anayefaa kwa maana atakayekuwa kwa masirai ya wana DMV na sio kuangalia CV ta mtu uo utakuwa ni umasiki wa Akili.
YES WE CAN.
MWANA VIJI MAMBO-DRESDEN-GERMANY.

Anonymous said...

Kura yangu hupati, sababu kujieleza huwezi, anaekuhoji unamfahamu unashindwa kujieleza, na sera hazitoshi.

Anonymous said...

Shule has nothing to do with this,infact mtu ambaye anataka uongozi tena mdogo kama huu wa jumuiya halafu anatanguliza madigirii na mapHD yake mumuogope kama ukoma.Wengi wanamadigirii ili tu wayaweke ukutani kutishia wageni wanaokuja kutembelea nyumbani kwao.Uongozi ni dhamana,heshima,imani,wito na uwezo wa kuungana na kuunganisha watu mbalimbali ili kufanya riba za malengo yao kimaisha ziingiliane wasonge mbele.Kusema kwamba tufumbie macho gender reasoning ni upuuzi.Gender is far important here.Wanawake ni far more intelligent than men in general na jamii ikikua kimawazo na kuweka ego pembeni na kuamua kukubali kuongozwa na mwanamke itafika mbali sana.
Mdau

Shawn Rich

Anonymous said...

One thing you should know, just by you standing you are already a winner and you are paving a way for many others.Regardless of where you land remember you are such an ASSET to the Tanzanian community and we know that,You have done wonders.

Women of your character do not need an office to thrive.


tity

Anonymous said...

Loveness oyee kura yangu umepata.. hela yote ya michango tutanunua lace wig natutaachana na mikorogo ya latifa... go lovess goooo

Anonymous said...

Loveness anaonekana sio comfortable kwenye kuuza ajenda zake au camera or both. Iddi anaonekana mzoefu wakuongea afterall ameshakuwa kiongozi kwenye jumuiya nyingine. However nataka kujua Iddi alifanya nini jipya huko kwenye jumuiya alizokuwepo? Did he contribute to success or create problems? Iddi alitakiwa atueleze alifanya nini kwenye hizo jumuiya in detail ikiwezekana percentages (afterall yeye ni mtu wa mahesabu). Lakini pale alipoulizwa kwanini aliachia kipindi chake kilipoisha/ je kuna watu walimuomba aendelee ameonekana kama hakuwa na jibu linaloeleweka. Kusema kwamba ilikuwa zamu ya watu wengine does not sound good to me. Ina sound kama yale yale ya viongozi wetu wa bongo anafanya uongozi muda wake ukiisha anaachia wengine anahamia kwingine bila kuwa na jipya. Anyways ni mtizamo wangu tu lakini binafsi naona kwenye nafasi ya uenyekiti/raisi both two candidates are very weak.

Anonymous said...

Wewe mwana vijimambo wa Germany umeongea vema. Tanzania ndiyo inyoongoza duniani kwa kuwa na viongozi wasomi. Rais na baraza lake la mawaziri karibu wote wana PhD. Rais na baraza la mawaziri USA hakuna hata mmoja mwenye PhD. Viongozi wetu wanatumia shahada zao za udaktari kuomba misaada kutoka nchi zisizokuwa na viongozi madaktari. Bill Gate hana PhD, lakini akifika Tanzania mitaa inafungwa.