Wageni kwenye meza kuu kutoka kushoto ni Mpwa, Mhe. Balozi ,Mwambata wa Jeshi Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani, Bigedia Jenerali Maganga, Afisa Edward Masanja akifuatiwa na Afisa Agnes Lusinde
Keki Ya Vijimambo iliyoletwa na Missy Temeke akishirikiana na Salma Londa, Quizela na Wahida Margareth Gathesha pia kulikua na keki nyingine (haipo pichani) iliyoletwa na Zay B Dullah.
Missy Temeke na Mamodels wake wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mhe. Balozi
Missy Temeke Shoto, akiwana Ma Winny Case na Asia Idarous Khamsin.
Picha na mdau Mohammed Matope.
No comments:
Post a Comment