Tunawakaribisha wote kwenye Semina ya Uamsho itakayofanyika hapa Columbus, Ohio wiki ijayo kuanzia tarehe 4-6 Mei. Semina itaendeswa na Mch. Douglas Mmari kutoka Minnesota. Kutakuwa na waimbaji maarufu wakiongozwa na Dada Flora Mbasha kutoka Tanzania na Printze Ngosso wa hapa Columbus. Kwa maelezo zaidi bonyeza play
No comments:
Post a Comment