ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 5, 2012

Sherehe ya Uchumba, Vincent na Angel, Marangu, Moshi

 Vincent Mughwai akiwa na mchumba wake Angel Minja
 Wageni waalikwa waliojumuika kushuhudia wachumba hao wakitangaza nia yao
 Vincent Mughwai akiwa na mchumba wake Angel Minja wakati wakitangaza uchumba wao.
  Toka kushoto ni Peter mghwira (mpambe wa Vincent Mughwai), Vincent Maghwai Angel Minja na mpambe wake Fatma Macha
Vincent Mughwai akiwa na mchumba wake, Angel Minja wakipata chakula.

No comments: