ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 28, 2012

TAMASHA LA MUZIKI WA INJILI NA MAOMBEZI WASHINGTON DC


KANISA LA CATHEDRAL OF PRAISE LINAPENDA KUWAKARIBISHA KATIKA TAMASHA LA MUZIKI NA MAOMBEZI SPRING REVIVAL, WATUMISHI WAMUNMGU FLORA MBASHA NA MUMEWE MHUBIRI WA KIMATAIFA JOSEPH KALEMA NA MCHUNGAJI PETER IGOGO WATAHUBIRI NA KUFANYA MAOMBEZI

WAPI:

10110 GREENBELT RD,
LANHAM,MD 20706

MUDA:

2:00PM  SAA NANE MCHANA

MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU
240 565 7133/ 202 271 1860/ 301 256 6018

No comments: