JUMUIYA YA WATANZANIA MAREKANI WASHINGTON METROPOLITAN
Uongozi wa Jumuia ya Watanzania wa DMV, unapenda kutangaza na kuwaomba wanajumuia wa DMV kujitolea na kujiunga kwenye Kamati mbali mbali, ili tuweze kulisukuma gurudumu hili la maendeleo yetu.
Tunawaomba watanzania ambao mnaweza kujitolea na kujiunga katika kamati zifuatazo. Kila kamati inahitaji watu wanne(4) mpaka watano(5).
- The Administrative Committee
- The Information and Communication Committee
- The Finance Committee
- The Governance Committee
- The Social – Economic and Empowerment Committee
- The Immigration Committee
Tunakuomba kama unapenda kujiunga na moja ya kamati hizi tujulishe kupitia email hii hapa chini. Tunaomba uweke jina lako na simu yako.
Email ni: atcdmv@gmail.com
Kama unaswali lolote au ushauri wasiliana na ;
Rais- Iddi Sandaly @ 301-613-5165
Makamu wa Rais- Raymond Abraham @ 301-793-4467
Katibu- Amos Cherehani @ 240-645-2131
Muweka Hazina- Genes Malasy @ 301-367-8151
Asanteni
Uongozi.
No comments:
Post a Comment