TIMU YA TANZANIA HOUSTON (SERENGETI BOYZ) YAFUNGWA NA TIMU YA SENEGAL
Timu ya kabumbu ya Watanzania Houston, Texas, Nchini Marekani Jumapili April 1, 2012 ilisalimu amri mbele ya timu ngumu ya Senegal kwa kuchapwa goli 1-0 katika mashindano yanayoendelea mjini hapo ya Africa Cup Of Nations 2012.
No comments:
Post a Comment