ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 21, 2012

ANKAL ATINGA KIJIJI CHA SWAHILI

 
 Ankal akiwa na Deo Ruta nje ya Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani.
 Ankal akiwa na mkula wa Mgahawa wa Kijiji cha Swahili, Kelvin kilichopo Beltsville, Maryland alipokwenda kupata chakula cha mchana.
 Ankal akiwa na Bagasa Libe kwenye mgahawa wa Kijiji cha Swahili 
Ankal akipata Ukodak moment na wadau alipokutana nao Hyattsville, Maryland alipokua amekwenda kuangalia Mechi kati ya Tanzania DMV na Portugal
Ankal akipata Ukodak Moment na Dean Nyalusi
Ankal akipata Ukodak Moment na Ally Bambino
Ankal akipata Ukodak Moment na Yusuf
Ankal akipata Ukodak Moment na Kaley Pandukizi (shoto) na Cosmas
Ankal akipata Ukodak Moment na Jabir Jongo (shoto) na Dave
Ankal akipata picha ya pamoja na Swahili Villa (kulia) na Wadau wa Hyattsville.
Ankal akipata picha ya pamoja na wadau wa Saigon
Ankal katika Ukodak Moment na wadau

No comments: