ZAVARA MPONJIKA ALONGA NA VIJIMAMBO
Zavara Mponjika (Ramson),ambaye anaaminika kuwa ni moja ya nguzo kubwa na chimbuko la kweli la hiphop ya nyumbani. Yeye ni mmoja ya waanzilishi wa kundi la KWANZA UNIT,Azungumuzia maisha yake, wapi alianzia mpaka kujiunga na Kwanza Unit MSIKILIZE
No comments:
Post a Comment