Kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani, Asia Dachi Kie Mlay, Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin na Mwanamitindo anaechipukia kwa kasi, Missy Temeke wakipiga picha ya pamoja siku ya Jumanne May 22, 2012 katika sherehe za Africa Day ambazo zilifikia Kilele siku ya Juamatano May 23,2012. Siku hii ilikua maalum kwa wanamitindo Waafrika kuonyesha vitu vyao, sherehe zilihudhuliwa na watu mbalimbali wakiwemo Mabalozi.
Wanamitindo Missy Temeke wa Kwetu Fashion Design (kushoto) akipata ukodak moment na Benson Mwaipaja(kati) na Mwanamitindo aliyebobea Asya Idarous Khamsin.
Mwanamitindo Missy Temeke aliyeshirikiana na Asya Idarous wakionyesha vitu mbalimbali siku ya Jumanne iliyokua siku ya kwanza katika maadhimisho ya Siku ya Afrika ambayo siku hii ilikua maalum kwa Wanamitindo Waafrika kuonyesha vitu vyao.
Model Kie Mlay akiwa kwenye vazi lililobuniwa na mwanamitindo Missy Temeke wa Kwetu Fashion Design.
Juu na chini ni mwanamitindo Missy Temeke na vazi la Kwetu Fashion Design lililobuniwa na yeye mwenyewe.
Missy Temeke (kulia) akiwa na Model Kie Malay wakipata Ukodak Moment.
1 comment:
Congratulations missy Temeke, keep it up.
Post a Comment