ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 5, 2012

CHADEMA UGHAIBUNI YAFUNGUA BLOG

Chadema Blog
Pole kwa kazi nashukuru wewe na timu yako ya VIJIMAMBO kwa kutuhabarisha usikochoka pia napenda kuwajulisha wadau na wafurukutwa wa CHADEMA duniani kote kwamba tumefungua Blog ya Chadema kwa kupashana Habari za chama na maendeleo ya Siasa Tanzania kupitia upinzani kwa Taarifa zaidi tembelea http://chademablog.blogspot.com/

4 comments:

Anonymous said...

Hello Dj Luke. Tunashukuru sana kwa kutupa habari hii njema ya kuanzishwa kwa blog hii ya Ukombozi. John Dsm, Tanzania

Anonymous said...

Haya tena Chadema sasa wamepata Blog yao. Hii ndio tulikuwa tunasubiri kwa hamu kubwa. Kilichobaki sasa ni kuanzisha Radio Chadema, TV Chadema na Gazeti la Chadema. Wanachama wote wa Chadema Tanzania tukiamua kupitisha michango kwa ajili ya Kuanzisha TV yetu tunaweza. Sasa Viongozi kazi kwenu kuhamasisha Wanachama kuanzisha TV, Radio na Gazeti.

MPAKA KIELEWEKE said...

Hii site nimetembelea,ipo juu sana.Ipo up to date na issue za Chadema(CDM)dunia muzima.Sasa sisi wa huku Milan,Italy habari zetu zitafikaje kwenye hii blog yetu ya CDM members in Diaspora ? Idea ya TV,Radi etc ina mashiko kweli.

Anonymous said...

Mdau wa milan, tutumie habari kwa hii e-mail chademablog@gmail.com