utendaji ndio una'matter sio lugha, wasomi ndio hao wanaokula pesa zetu.linazima tujivunie lugha yetu.Kama bunge linataka kiingereza basi wanaoshinda ubunge wawapeleke english course. Nice joke anyway...
uwiii,nimechaka sana. anyway lugha ina umuhimu wake,sababu ukiijua inasaidia kukuwezesha kuwasiliana na watu wengi zaidi,hasa ktk utandawazi huu,mi naona Tanzania tutafute njia ya kutufanya tuongee kiingereza vizuri sana na kiswahili kibaki kuwa ndio lugha mama kama kawaida.labda kuanzia shule za awali iwe ni english tupu,ila home,mtaani, kiswahili,
2 comments:
utendaji ndio una'matter sio lugha, wasomi ndio hao wanaokula pesa zetu.linazima tujivunie lugha yetu.Kama bunge linataka kiingereza basi wanaoshinda ubunge wawapeleke english course.
Nice joke anyway...

Post a Comment