ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 4, 2012

FORTNEY FARAJA ISINGO'S BIRTHDAY

 
Keki ya Besidaei ya Fortney Faraja Isingo ikimeremeta siku hii maalum kwake siku ya April 14, 2012 sherehe zilizofanyikia Hotel ya Hampton Inn iliyopo Silver Spring, Maryland
Fortney Isingo akiwa ametulia na kupozi kwenye kiti chake cha enzi kwenye siku hii maalum kwake ndani ya Hotel ya Hampton Inn iliyopo Silver Spring, Maryland.
 
Kutoka kushoto ni Yona Isingo( kaka wa Fortney). wakiwa pamoja wazazi wao.
Wageni waalikwa wakipata picha ya pamoja na Familia ya Isingo.
Mayor Mlima akipata ukodak moment na familia ya Isingo.
Fortney akimlisha keki kaka yake Yona.
Baba na mwana
Fortney akifuatilia chakula.
Pastor Anne na Mr Paul (mumewe).
Pastor Anne akiongea machache.
Dr Norman- baba wa ubatizo wa Fortney akitoa neno.
Mama mwenye nyumba akiongea machachekuwashukuru wageni waalikwa.
Mama na mwana.
Kwa picha zaidi Bofya Read more

 

5 comments:

Anonymous said...

Real nice party. Congratulation Fortney


From Sasha Pacho

Anonymous said...

Wow, my daughter Fortney. Congrats. U, Mum and Dad.


From Sozy Msina

andrew msina said...

Congratulation Fortney!

Anonymous said...

Hongera kaka Faraja na mama mzaa chema! It was a nice party.

Anonymous said...

Hongereni sana! How do you know If someone wants their picture on your blog? Common practice is a signed or verbal waiver, did you obtain either?