ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 20, 2012

HAPPY BIRTHDAY SAFIYAH MKAMBA

Safiyah Mkamba (shoto) akiwa na rafiki yake Lisareine Kamazima kwenye chakula cha usiku katika Mgahawa wa Sushi Rock, Columbus, Ohio ilkuwa ni kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ya Safiyah ambayo itakua Jumatatu May 21, 2012
Natalie Mohamed (shoto) akiwa na Safiyah Mkamba na kadogo wao kwenye chakula cha usiku, mgahawa wa Sushi Rock, Columbus, Ohio katika kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Safiyah ambayo itakua Jumatatu May 21, 2012.
Kushoto ni Safiyah Mkamba akiwa na Lisareine Kamazima na kadogo wao kwenye chakula cha usiku,  mgahawa wa Sushi Rock, Columbus, Ohio katika kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Safiyah ambayo itakua kesho Jumatatu, May 21, 2012.

1 comment:

Anonymous said...

naona warembo wamejua kulipuka si mchezo! happy birthday safiya