Bernadette Seruhere Licha Ya Kufanya Vizuri Kimasomo Pia Ana Kipaji Cha Kuimba, Hapa Akiwaimbia Wageni Waharikwa Waliofika Nyumbani Kwa Bwana Seruhere Roosevelt Island Ny. |
Hapa Bernadette Kushoto Akiwa na Rafiki Yake Mkubwa Maziko. |
Picha Akipokea Zawadi Ya Game Kutoka Kwa Best Yake Maziko . |
Bernadette Akiwa Na Baba Yake Bwana Seruhere Ambae Ni Afisa Wa Ubalozi Hapa Ny. Picha na Ny Ebra Vijimambo Ny. |
No comments:
Post a Comment