linah mwanamuziki wa kizazi kipya akipagawisha mashabiki kwenye kiota cha maraha kinachoitwa CAFE RENDEVU, Oakland, California, Nchini Marekani kwenye show kabambe iliyofanyika Jumamosi May 19, 2012.
Linah akiendelea na makamuzi kwenye kioata cha CAFE RENDEVU katikati ya jiji la Oakland, CA.
Mashabiki wakiwa na furaha huku Linah akiendelea kuwachengua na nyimbo zake.
Mashabiki wa kila aina wakiendelea na burudani ndani ya kiota cha CAFE RENDEVU jijini Oakland, CA kutoka kwa mwanamuziki wa kizazi kipya, Linah.
Ilikua ni kula burudani kwa mbele, mashabiki wa Oakland, CA wakipata kitu roho inapenda.
Raha ipo Oakland, CA, "mwe" mashabiki wakila raha na burudani ndani ya kiota cha CAFE RENDEVU kutoka kwa mwanamuziki wa kizazi kipya, Linah
Mashabiki wakipagawa na miziki kutoka kwa mwanamuziki wa kizazi kipya Linah ambae alifanya show kwenye kiota cha CAFE RENDEVU jiji Oakland, CA Jumamosi May 19, 2012.
Mashabiki wakiendelea kula burudani ndani ya kiota cha CAFE RENDEVU
Kwa picha zaidi Bofya Read More
1 comment:
Nice, ila promota akimleta Diamond uwiii watu hatuta lala.
Post a Comment