ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 28, 2012

IBADA YA KISWAHILI COLUMBUS, OHIO YATIMIZA MIAKA MITATU


Mama Kibanga (kushoto) akiongoza ibada ya kiswahili ilyofanyika Jumapili May 27, 2012, Columbus, Ohio, kulia ni Pastor Jane.
 
Mtumishi Reuben Kigame toka Kenya akiimba moja ya nyimbo zake za kumtukuza Mungu.
Kwaya ya Ibada ya Kiswahili ikiimba kwenye sherehe za miaka mitatu ya kanisa hilo la Ibada ya Kiswahili iliyofanyika Jumapili, May 27, 2012 mjini Columbus, Ohio.
Bwana Harusi mtarajiwa akifuatilia ibada.
Bi Harusi mtarajiwa akifuatilia Ibada.
 Mtumishi Reuben Kigame (kushoto) toka Kenya akifuatilia Ibada. 
 Watanzania wa Columbus, Ohio wakiwa waliojumuika na wenzao wakifuatilia Ibada.
Watanzania wakiwa kwenye Ibada ya kusherehekea kutimiza miaka mitatu ilyofanyika Jumapili May 27, 2012.
 Watanzania wa Columbus, Ohio wakifuatilia Ibada.
 Watanzania wa Columbus, Ohio waliojumuika pamoja kwenye sherehe za kutimiza miaka mitatu ya Ibada ya Kiswahili mjii humo.
 Mtanzania akiiwa na mwanae akifuatilia Ibada.
 Wataznania wakifuatilia Ibada.
 Ibada ya kiswahili ya kusherehekea miaka mitatu ikiendelea Jumapili May 27, 2012.
Wanzania wakijumuika pamoja kwenye sherehe za miaka mitatu ya Ibada ya kiswahili iliyofanyika Jumapili May 27, 2012 Mjini Columbus, Ohio.

No comments: