Wadau wa Columbus, DC na Atlanta waki represent kwenye park.
Wadau wa Columbus pamoja na Connecticut wakipata ukodak moment.
Juu na chini ni Wadau Kutoka New York wakicheza Electric Slide kwenye Park ya Roses
Walimbwende wa Columbus, Ohio wakipozi kwenye Ukodak moment.
Pam Lolo akiwa na mdogo wake Jack wakiwa kwenye Park
Wadau wakipata Ukodak Moment
Timu ya Watanzania ya Columbus, Ohio ambayo ilikua icheze mechi na Liberia ambao hawakutokea na ikabidi wacheze mazoezi wao kwa wao na kuahidi kuja DMV kukipiga na Watanzania wa huko.
Faiz Jr mchezaji wa Tegemeo la Taifa Stars miaka ijayo
No comments:
Post a Comment