ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 28, 2012

MEMORIAL WEEKEND, OHIO DAY 3

 Di Kvelli akipagawisha wadau waliokuja Columbus, Ohio kwenye Memorial Weekend Bash
 Wadau wa Columbus wakipata Ukodak Moment
 Wadau wa Columbus, Cleveland na Atlanta wakipata ukodak moment
 Wadau kutoka New York, Chicago na Cleveland katika picha
 Gonga (kati) akiwa na wadau wa New York.
 Wadau wa Columbus katika Picha
Wadau wakipata picha ya pamoja.
 
Wakazi wakipata picha na watanzania wenzake Columbus, Ohio
 Wadau wakipata picha ya pamoja Columbus, Ohio.
 Wadau katika picha
 Wadau wakipiga picha kwenye memorial weekend party.
Wadau Columbus, Ohio katika picha
Kwa picha zaidi Bofya Read More

 

No comments: