ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 19, 2012

MDAU GEOFFREY LUGARABAMU WA NEW YORK AKIACHIA SMILE YA FURAHA BAADA YA KUGRADUATE NA KUJIPATIA BACHELOR OF ACONOMY AND ARTS.

Graduation hiyo ilifanyika chuoni hapo Manhattanville college uko white plans NY, Blog ya jamii Vijimambo inakupongeza sana na kwa mafanikio haya, na pia inakutakia mafanikio zaidi ya hapa ulivyo fikia.

Hapa akipokea cheti chake

Hapa akiwa na mama yake mzazi aliefunga safari kutoka Tanzania kuja kushuhudia graduation ya mwanawe.

Hapa kati ni Geoffrey katikati na mama yake mdogo kulia kwake anaehishi hapa nchini na mama yake mzazi wakiachia smile za furaha.

Picha za kumbukumbu na mdada mwingine wa kitanzania ambae nae aligraduate hapo college kwa bahati mbaya jina alikueza kupatika jina  akiwa na mama yake pia alie funga safari kutoka Tanzania hadi USA.


1 comment:

Anonymous said...

Kaka inabidi ufanye editing haraka.