Hapa akipokea cheti chake |
Hapa akiwa na mama yake mzazi aliefunga safari kutoka Tanzania kuja kushuhudia graduation ya mwanawe. |
Hapa kati ni Geoffrey katikati na mama yake mdogo kulia kwake anaehishi hapa nchini na mama yake mzazi wakiachia smile za furaha. |
Picha za kumbukumbu na mdada mwingine wa kitanzania ambae nae aligraduate hapo college kwa bahati mbaya jina alikueza kupatika jina akiwa na mama yake pia alie funga safari kutoka Tanzania hadi USA. |
1 comment:
Kaka inabidi ufanye editing haraka.
Post a Comment