ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 19, 2012

TANZANIA DMV KUCHEZA NA PORTUGAL KESHO JUMAPILI UWANJA WA HEURICH, HYATTSVILLE


Timu ya Tanzania DMV Kesho Jumapili May 20, 2012 itajitupa tena uwanjani kupambana na timu ya Portugal katika mashindano ya ligi inayoendelea ya DIASPORA world CUP 2012  mechi hiyo inatarajiwa kuchezewa katika uwanja Heurich uliopo Hyattsville (uwanja wa Yanga na Simba),.

Katika mechi iliyochezwa Jumamosi ya May 12, 2012 kwenye uwanja wa Greencastle, Maryland timu yetu iliitoka Droo na timu ya Ethiopia 0-0.

Jabir Jongo amewaomba Watanzania wajitokeze kwa wingi kuishangilia timu yao Mpambano unatarajiwa kuanza saa 11kamili jioni, kufika kwako ndio mafanikio ya ushindi wa Timu yetu ya DMV.

No comments: