ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 19, 2012

ILE PARTY KUBWA YA OLDSCHOOL ILYOKUA IFANYIKE JULY 14, 2012 ATL SASA KUFANYIKA DECEMBER 8, 2012


Ile Party ya Oldschool iliyokua ifanyike Atlanta, Georgia July 14, 2012 sasa itafanyika December 8, 2012 Usiku wa kuamkia siku ya Uhuru wa Tanzania Bara, na itafanyikia hapo hapo ATL kwa sasa burudika na Video ya Oldshool na Taarifa zaidi zitafuata, poleni kwa usumbufu wowote utakaotokea.

1 comment:

Anonymous said...

Dj Luke Upo juu, Old skuli imeenda shule.
Mdau-Dresen-Germany.