Stephano na Achotto wanawakaribisha kwenye kikao cha harusi yao kitakachafanyika leo Jumamosi jioni May 19, 2012 kuanzia saa 1 usiku nyumbani kwao.
Address ni
4513 Burkes Promise DR.
Bwie, MD 20720
Ukipata ujumbe huu mtaarifu mwenzio.
Karibu
No comments:
Post a Comment