ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 7, 2012

Rais Jakaya Kikwete Awaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri Wateule IKULU jijini Dar es Salaam Leo


Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha  Waziri wa  Kilimo, Chakula na Ushirika Eng. Christopher Chiza, Mb.,wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo Mei, 7, 2012.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Waziri wa Maliasili na Utalii Ndugu Khamis Kagasheki, Mb.,wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo Mei, 7, 2012.

Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Dkt. Hussein Mwinyi kuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo Mei, 7, 2012.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Ndugu Angela Jasmine Kairuki, Mb.,wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo Mei, 7, 2012.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Naibu Waziri wa Fedha Ndugu Janet Mbene, Mb.,wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo Mei, 7, 2012.
Rais Jakaya Kikwete,Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Mb.,akimuapisha  wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo Mei, 7, 2012.

Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa, Mb.,wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo Mei, 7, 2012.


Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba, Mb.,wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo Mei, 7, 2012


Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Ndugu Lazaro Nyalandu, Mb.,wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo Mei, 7, 2012.

Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha , wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo Mei, 7, 2012.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe, Mb.,, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo Mei, 7, 2012.
Kwa picha zaidi Bofya Read More

Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha , wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo Mei, 7, 2012.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Adam Malima,  kuwa Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo Mei, 7, 2012.
Rais Jakaya Kikwete,  Akimuapisha Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Ndugu Amos Makala, Mb.,wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo Mei, 7, 2012.

Rais Jakaya Kikwete,  Akimuapisha Ndugu George Simbachawene, Mb., wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo Mei, 7, 2012.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fenella E. Mukangara, Mb., wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo Mei, 7, 2012.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakiwapongeza baadhi ya Mawaziri na Manaibu baada ya kuapishwa wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar esSalaam leo Mei 7, 2012.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na George Simbachawene, kwenye Viwanja vya Ikulu baada ya kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, 
akifurahia jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Terezya Huvisa na
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Charles Kitwanga 'Mawe Matatu', wakati wa hafla
ya kuapishwa Mawaziri wapy iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, 
akizungumza na Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia CHADEMA Zitto Kabwe kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam, leo Mei 7, 2012 wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri wapya wateule.

Dkt. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini,William Ngeleja,baada ya hafla ya
kuapishwa Mawaziri wapya walioteuliwa wiki iliyopita.Hafla hiyo ya kuwaapisha ilifanyika
                          leo Mei 7, 2012 katika Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, 
akimpongeza Naibu Waziri wa Fedha, Janeth Mbene, baada ya kuapishwa kushika wadhifa huo leo wakati wa Hafla fupi ya kuwaapisha mawaziri wapya, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib 
Bilal, akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na Mawaziri wa Ofisi yake baada ya 
kuapishwa Mawaziri wapya wakati wa hafla fupi ya kuwaapishwa mawaziri iliyofanyika kwenye  Viwanja vya Ikulu Dar es salaam leo Mei 7, 2012. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu  wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, Wa pili (Kulia) ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, aliyeteuliwa wiki 
iliyopita na kuapishwa leo, Charles Kitwanga 'Mawe Matatu'

Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Katibu Mkuu Kiongozi, wakiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wateule baada ya kuapishwa rasmi leo Ikulu Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais


1 comment:

Anonymous said...

kazi nzuri sana mh rais hongera sana mawaziri