ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 11, 2012

RAIS KIKWETE KATIKA HITIMISHO LA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UCHUMI KWA AFRIKA NCHINI ETHIOPIA


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika mdahalo wakati wa Kongamano la Kimataifa la Uchumi kwa Afrika, akiwa na viongozi wengine wa nchi mbalimbali waliohudhuria.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mstaafu Bw Koffi Annan walipokutana  katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa ambako wote walihudhuria Kongamano la Kimataifa la Uchumi kwa Afrika.
 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Canada Bi. Berly Oda walipokutana kwa mazungumzo katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa ambako wote walihudhuria Kongamano la Kimataifa la Uchumi kwa Afrika.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bishara la Kimataifa - World Trade Organisation (WTO)- Bw Paschal Lamy  walipokutana kwa mazungumzo katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa ambako wote walihudhuria Kongamano la Kimataifa la Uchumi kwa Afrika.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Nigeria Mh Goodluck Jonathan baada ya kuhudhuria dhifa ya kitaifa waliyoandaliwa na mwenyeji wao Waziri Mkuu wa Ethiopia Mh Meles Zenawi jijini Addis Ababa Alhamisi usiku. Kulia kwa Rais Kikwete ni Waziri wa Fedha wa Nigeria Bi.Ngozi Okonjo-Iweala  ikiwa ni kilele cha Kongamano la Kimataifa la Uchumi kwa Afrika.

PICHA NA IKULU

No comments: