ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 10, 2012

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ATEMBELEA OFISI ZA TUME YA KAMATI YA MABADILIKO YA KATIBA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekiti wa Tume ya Kamati ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba  na wajumbe wa Tume hiyo baada ya kutembelea Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam jana  Mei 9, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe baada ya kutembelea Ofisi za Tume ya Kamati ya Mabadiliko ya Katiba na kuzungumza na wajumbe wake, jijini Dar es Salaam jana Mei 9, 2012. Kulia ni Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Joseph Sinde Warioba.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: