Deejay Tom a.k.a mzee wa "old skull" pamoja na Umoja wa Watanzania Bayarea watarusha raha kwa wabongo na mataifa mengine ya Bayarea kwa kuporomosha mawe mazito zikiwa pamoja na zile bongo flava mpya ambazo zimetoka jikoni. Be ontime kujipatia full shwange! KARIBUNI WOTE !
Location: Cafe Randevu 2430 Broadway, Oakland; Time: 9pm - Close More Info Contact: Deejay Tom @ 510-517-6047

2 comments:
Mwaga raha aka mzee wa Old Skull !!!
Powa sana Tom tumekusikia vitu vyako endeleza libeneke !!
Post a Comment