ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 17, 2012

HAFLA YA KUMUAGA MH ASHA-ROSE MIGIRO NEW YORK YA FANA

 Mwenyekiti wa jumuiya ya watanzania New York  Hajji Khamisi akiongea machache na kuwakaribisha wageni. 
Kiongozi wa jumuiya ya watanzania waishio DC Iddi Sandaly akiongea machache katika hafla hiyo 


Bwana Suleiman Saleh afisa ubalozi Tanzania Washington DC  akiwakaribisha Mh. Asha-Rose Migiro na Mh. Balozi Mwanaidi  Maajar Sinare walipokuwa wanaingia ukumbini
 Waheshimiwa wakiingia ukumbini 
 Mh. Asha-Rose Migiro akiingia ukumbuni na smile baada ya kuona watanzania wengi wamejitokeza kuja kumuaga
Kushoto kiongozi wa jumuiya ya watanzania NY Nd. Hajji Khamisi, wa pili toka kushoto Mh. Balozi Mwanaidi, Mh. Asha-Rose Migiro na Nd. Iddi Sandaly kiongozi  wa Jumuiya ya watanzania Washington DC  
 Afisa ubalozi Tanzania Washington DC na mshereheshaji wa hafla hiyo bwana Suleiman Saleh akiongea machache na kumkaribisha Mh. Balozi Mwanaidi Maajar Sinare 
 Mh.Balozi Mwanaidi Maajar Sinare akimkaribisha Mh. Asha-Rose Migiro katika hafla hiyo ya kumuaga
 Mh. Asha-Rose Migiro akiongea baada ya kukaribishwa 
 Waheshimiwa wakipongezana baada ya kumaliza kuongea
 Mh. Asha-Rose Migiro Akipokea zawadi aliyopewa na uongozi wa jumuiya ya New York

 Mh. Asha-Rose Migiro akipokea zawadi kutoka aliyo nunuliwa na viongozi wa jumuiya ya Washington DC
 Mama Mnanka nae akimkabizi zawadi Mh. Asha-Rose Migiro

kwa picha zaidi Bofya Read more

No comments: