ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 18, 2012

HAFLA YA KUMUAGA MH. ASHA-ROSE MIGIRO SEHEMU YA PILI

 MH. Asha-Rose Migiro Akisalimiana na mama mwenye nyumba wa Mh. Balozi Manongi
 Mama mwenye nyumba wa bwana Melo akisalimiana na Mh. Asha-Rose Migiro alipokuwa anaingia ukumbini.
 Mama mwenye nyumba wa Mh. balozi wa Somalia alikuwepo nae kumuaga Mh. Asha -Rose Migiro 

Umegundua nini katika picha hii 
 Kila mmoja alikuwa na smile kuonesha ni kiasi gani ilikuwa siku ya furaha kumuaga Mh. Asha-Rose 
Ukodak moment na Mh. Asha-Rose pamoja na Mh. Balozi Mwanaidi Sinare Maajar.
 Pr, Luiza akipata picha ya ukumbusho na waheshimiwa,

Muakilishi wa VIJIMAMBO NEW YORK, Ebra NY akipata picha ya pamoja na Mhe.Mwanaidi Maajar, Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico akiwemo Mhe. Asha Rose Migiro.

Mama Kimolo kutoka Maryland nae akipata picha ya pamoja na Balozi Mhe. Mwanaidi Maajar na Mhe. Asha Rose Migiro.

Mdau Kibodya kutoka Massachusetts akiwa na mama mwenye nyumba wake wakipata maakuli
 kwa picha zaidi Bofya Read More, picha na Ny Ebra, NYC