ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 19, 2012

ILALA FLATS MPO

Photo: Ilala Flats (Block V)
Juu na chini ni maeneo ya Ilala Flats yanavyoonekana
Photo
Photo: Block III - Pan One, Jay Cee, Turbo B, Ray, Sir DC, &
Unawakumbuka hawa???

8 comments:

Anonymous said...

no hatuwakumbuki hao ndo wakina nani japo kuwa kwetu ilala

Anonymous said...

from right, is KUKU..i think wa pili kushoto is kolumba

Anonymous said...

Kutoka kushoto ni Dj Bonney Love, Black moses,Issa Michuzi,Dj Luke Joe na Nicko Zengikala. Nafikiri nimejaribu, kma nimekosea naomba mnikosoe.

Anonymous said...

from left,vioneli mbawa, carleon chagu, baraka masesa, ray matoke n Frank kuku

Anonymous said...

hahahahaaaa tupooooooo lol...wadau mmekosea kutoka kushoto vyoneli,kalioni,baraka,ray matoke nunda la nguvu,frank kuku...ilala stand up

Anonymous said...

Ilala staaaaaaaaaaaaaaaand up.....kudaaaaadek. Endi yuuuu matokee yu lukudi thoooo thekthi you usudi tu bii my nunda........

Anonymous said...

Mbona mabibo kwA mfuga mbwa hatuwekwi...je temeke ngalambe mtaa wa wailesi kwenye mti wa mang"onda

Anonymous said...

Hiyo picha ya kwanza block V kama namwona Amiri na Ali Kipepe aaah bila kumsahau Pimbi.