ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 12, 2012

MAKAMPUNI YALIYO KUWA YAMEJITOKESHA KATIKA MKUTANO WA TIGU INC

Ngugu Walter Minja akiwa kwenye banda la kampuni ya Business Consultant na mwandishi wa kitabu "The 7 Powerful Lessons to Succeed in Business".

 Katikati CEO wa ESM Travel ndugu Elias Mwita akiwa na wadau
Ndugu Lomba Mtambo kulia akitoa maelekezo kwa bwana Walter Minja kuhusu namna anavyofanya kazi ya kuendeleza ardhi (Land Development)

 Bi. Gail Mills katika banda lake la Mills' Mastery of Mental Math, Advanced Flash Cards.
 Bi. Gail Mills akitoa maelekezo mafupi ya bidhaa zake
 Tanzania Embassy Services walikuwepo kutoa huduma kwa waliohitaji kubadilisha passport.
 Dada Diana akijaza fomu kwa ajili ya kubadilisha hati ya kusafiria (passport renewal)
Mdau akijaza fomu ili kupata passport mpya ya Tanzania baada ya aliyo kuwanayo awali kuisha muda wake, huduma hizo zilipatika hapo hapo kwenye mkutano wa TIGU Inc.
Fabak Fashion iliyo chini ya Asia Idarous Khamsin ilikuwa na meza yake pia,  hapa mdau Asia akiwa na mmoja wa wateja wake Dj Dulli Smart kutoka Seattle,

David Kassiane CEO wa Dream Work Record akitoa Maelezo kwa Walter Minja aliotembelea Meza yake.

 Bi. Joyce Ross, mkurugenzi wa Los Angeles World Airport .
 Rabia Dahal mkurugenzi wa TIGU Inc and Rais wa Jumuia ya Watanzania California akimwaga sera.
 Bwana Ndaga Mwakabuta, Rais wa  DICOTA Kutoka Minnesota akizungumza machache katika mkutano huo.

Avenues of U.S Immigrations for Tanzanians, Valerie Curtis-Diopp, Founder and Attorney, ADILA Law Group was among the speakers at TIGU Inc.

2 comments:

Anonymous said...

Fantastic conference! Relations, relations, relations! Thank you TIGU and all the participants. Gail Mills, Mills' Mastery of Mental Math

Anonymous said...

Gail Mills and her Mills Mastery of Mental Math is the next step toward perfection in our schools all around the world. Does not matter where you live, this unique approach to mastering math skills is a stand alone product long needed in our schools and homes. Kudo's to you Gail Mills!