ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 12, 2012

Wiki ya TIGU picha kutoka kwa professeur Mrisho


 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Maajar akitoa nasaha zake wakati wa kufunga Mkutano wa TIGU uliofanyika Hollywood CA Jumamosi ya June 9, 2012.Kushoto ni kaimu Balozi wa Afrika ya kusini nchini Marekani mwenye makao yake Los Angeles Bw Indabha.
Mindi Kasiga Afisa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani katika Ukodak Moment na Mwalimu wake  Prof Mrisho.

No comments: