Deejay Tom mwenye fulana ya blue (wapili toka kulia) akilonga na deejay mwezake Crisp katika kuweka mikakati ya kurusha raha za uzinduzi.
Deejay Crisps akipata picha ya pamoja na Ndg. Walter Minja
Wadau wakiwa wanaingia kwenye mjengo tayari kula raha
Deejay Crisps mmoja wapo wa ma-deejay waliorusha raha katika uzinduzi wa Bliss 3000 Broadway Oakland - California
Ndg. Walter Minja akiwa na waheshimiwa Mwesigwa Blandesi - Mwenyekit wa Tanzania Bay Area - California, Yassini Kapuya mmiliki wa kampuni ya Business Consulting na Milambo Gaudence wa Legal Shield wakiwa katika shughuli za uzinduzi wa kiota cha maraha mjini Oakland - California.
Ufunguzi kiota kipya mtu nyomi
4 comments:
Ndugu yangu Luke, hiyo picha ya mwisho naona kama uchakachua uliofanywa bila kutumia akili nzuri. Hiyo picha inaonesha watu wakiwa katika club ya wa-asia usiku wa mwaka mpya. Angalia kofia walizovaa washerehekaji. Hii NOMA!
Event ilikuwa bomba thanks guys.. Diversity kweli kutoka bara zote... @Jasusi- acha uhasidi...sherehe ni za watu wote kufurahia...
Bongo party event in the Bay? Lini tena?.. we need more of this ..This is very cooooooool
good job DJ tom. mambo yako makubwa rafiki
Post a Comment