ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 19, 2012

MKOKO MPYA WA DIOMOND

Hakikisha nawewe kwa macho yako kisha kawasimulie na wenzio...
Nimekula pozi nn,ngozi nyeupe pale nyuma Dooooh ni wasafiiiii!

8 comments:

Anonymous said...

kachukuwe basi joketi au miss ezekil umpakiye jaaama bado mshamba huyu duu sijapata kuona

Anonymous said...

Watu wangapi Mbagala hawana chakula na malazi. hatukatai lakini siri ni yako sabau hata hao wanaokushabikia watakuona limbukeni. Akina Bill gate sijui wasemeje?

Anonymous said...

mi sio mshabiki wa huyo jamaa Diamond ..lakini si budi ni kimpa ongera zake,Jamaa kisu chake kikali ata kama yuko bongo ...katupiga gap wenzangu na miye ambao wanaendesha vi-gari ambavyo viko used na kuinua mabega juu kama ndo wameshayatoa Maisha.
Get money spend Money.
$$$$$$ DMV.

Anonymous said...

muacheni kaka wa watu,mbona kim kaandikwa pia kumpa gari Kanye,sidhani kama ana maanisha ku show off ila mapaparazi ndio wambea

Anonymous said...

wema sepetu nadhani uamuzi ulioufanya wa kumuacha huyu yanki ulikuwa wa busara maana lips zake jumlisha na zako sijui mngetoa kitu cha namna gani!!
mdau washington dc usa

Anonymous said...

You go boy nice car!

Anonymous said...

tuache wivu. kwa hiyo kama mashabiki wake wana njaa ndo aache kuishi maisha yake akawalishe? yeye ndo anakusanya kodi?? He! hebu tumuache mtotowa watu. Ushamba hapo uko wapi hasa? kwenye kununua gari au kupiga picha na gari lake? He deserves it, ni jasho lake.

Anonymous said...

safi sn kijana...we endelea kukamua tuu maneno cku zte hayakosekani..achana na hao wanok-nok na hadithi zao za kijinga!!