|
Msanii wa music wa kiafrica Msafiri Zowose akiwapaburudani na wapenzi wamusic wakiafriaca walio jitokeza katika show yake iliyo fanyanyika Shrine Harlem NYC weeknd, Msafiri ni mtanzania anaefanya shughuri zake za music wakiafrica sehemu mbali mbali duniani na kwa sasa yupo Marekani akitoa burudani hiyo katika miji mbali mbali ya Marekani hongera sana kwa kuitangaza Tanzania katika nyanja za kimataifa kwa kutumia music wa asili ya kiafrica. |
Msafiri Zowose akiwa kazini
Hongera sana kwa kazi mzuri ya kuitangaza nchi yetu Tanzania
|
Walijitokeza kushuhudia show hiyo ya Msafiri Zowose |
No comments:
Post a Comment