ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 18, 2012

TANZANIA DMV YATOKA SARE NA SPAIN 1-1


Timu ya soka ya Tanzania DMV jana Jumapili itlitoka sare ya bao 1-1 na Spain katika mechi iliyochezewa viwanja vya Germantown katika Ligi ya DMV 2012 DIASPORA WORLD CUP mpaka sasa Tanzania DMV imeishacheza mechi 6, imeshinda 1 imetoka droo mechi 2 na imefungwa mechi 3 na mechi ya 7 ambayo ilikua ichezwe Jumapili ya June 10, 2012 dhidi ya England na mpambano huo kuahirishwa kutokana na baadhi ya Wachezaji wa Tanzania DMV kupotea kufika uwanjani na sasa mechi hiyo itapangwa kuchezwa tena.

No comments: