ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 21, 2012

UTANI WA CHADEMA NA CCM

Nape avalishwa gwanda na  CHADEMA

1 comment:

Anonymous said...

Hivi ndio siasa ya upendo sio ile ya kutoana roho jamani? Tofautieni kimawazo, tumieni demokrasia ya kweli kwa manufaa ya wananchi, mkome kuchinjana kinyama mnapoelemewa mitazamo. Ya kisiasa na uchaguzi. Mungu tujalie amani na tupendane.