Picha
na matukia ya Bang Cruise party iliyo fanyika friday night , hili ndo
boat lililo kuwa lina helea juu ya maji nya Lake Mchigani uku Dj Denis
chini aki wapa burudani watu waliojitokeza usiku huo kwa ajili ya Bang
Cruise party hiyo. Watu walifuhi na kila mmoja akutaka party ifikie
mwisho kutokana na music ulio kuwa unaongonzwa na Dj Denis kutoka Twin
Cities Menniapolis. Licha ya kupata chakula ndani pia kulikuwa na live
show za wasani Stanboi kutoka Wichita Ks, na Wakazi Wassira kwenye ma
kazi yake Chicago.
Dj Dennis akiwa jibika vilivyo kuwa letea kitu roho inapenda.
Wakazi Wassira akiwa kati uwapa mistari ya hip pop yenye vina vilivyo bora
Stanboi nae kama kawa akitoa burudani live ndani ya boat hilo
Hapa ni Staniboi the African Child pamoja na Peter mratibu wa mpngo mzima wa bang Cruise
Hapa
ni Stanboi kushoto pamoja na Wakazi wakipata ukodak wa vijimambo kabla
ya kuanza kuwatoa burudani live kwenye bang cruise hiyo.
Wadau wa Chicago wakiwa kwenye Boat
Ilikua ni kujianchia na kujimwaya aya ndani ya Boat
Watanzania wa Chicago na vitongoji vyake wakijumuika kwa pamoja kwenye Cruise Party iliyofaynyika Chicago Ijumaa July 27, 2012.
Warimbwende wakipata picha ya pamoja kwenye Cruise Party iliyofanyika Chicago
Ni Ukodak Moment
|
1 comment:
Did people swim in the lake? There is a lady in a swim suit.....
Post a Comment