Advertisements

Saturday, July 28, 2012

MSIBA U S A NA TANZANIA MFIWA EDINA MUSHI.

EDINA MUSHI ..Amefiwa na baba yake mpendwa mzee Simon Mkoma, kama mila na desturi zetu ni kupeana mkono wa pole. 

Msiba upo  address 
2212 Pimnit, Rn Ib Apt 204
 Fall church, VA 22043


Unaweza kuwasiliana na 
Weka Maria Mnimbo no 202 438 6894. 
Eileen Shirima 202 290 5523, 
Mrs Kimalo 301 792 5323, 
Edina Mushi 571 502 0901


Ukipata Tarifa hii mtaarifu mwenzio. Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe, Amin

No comments: