Advertisements

Friday, July 27, 2012

BRIGEDIA JENERALI EMMANUEL MAGANGA AKAMATA NONDOZ

Juu na chini ni Brigedia Jenerali Maganga akionyesha Nondozz baada ya kukamata Ijumaa July 27, 2012 kwenye U.S. ARMY COLLEGE iliyopo mji wa Carlisle, Pennsylvania Nchini Marekani, Brigedia Jenerali Maganga ni Mwambata wa Jeshi katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani.
Brigedia Generali Maganga akipongezwa Mkewe Love Maganga kwa Chum chum baada ya kukamata Nondoz.
Familia ya Brigedia Jenerali Maganga, Mhe. Balozi Maajar, Maafisa wa Ubalozi, ndugu na marafiki wakipata picha ya pamoja na Brigedia Jenerali baada ya kukamata Nondoz.
Kibanda kikiandaliwa kwa ajili ya shughuli za kukabidhi vyeti.
Meja Jenerali wa Jeshi la Marekani 49th Commandant, Anthony A. Cucolo III akiongea machache kabla ya kukabidhi Nondoz kwa wahitimu.
Juu na chini ni wahitimu akiwemo Brigedia Jenerali Maganga
Brigedia Jenerali akijianda kuelekea chuoni.
Kushoto ni Col Laura R. Varhola ( U.S.A. Division Chief) anaefanyakazi Pentagon aliyekuja kupiga picha na Balozi Maajar (kati) na kuongea nae kiswahili kilichonyooka hapa wakiwa pamoja na Brigedia Jenerali katika picha ya pamoja.
Mhe. Balozi Maajar katika picha ya pamoja na Brigedia Jenerali Maganga kwenye Bendera ya Tanzania.
 
Birigedia Jenerali Maganga na mkewe Love Maganga, Balozi Maajar na Maafisa wa Jeshi wakipata picha ya pamoja.

Kwa picha zaidi Bofya Read More

 

7 comments:

Anonymous said...

Hongera Brigedia Jenerali Maganga kwa kufuzu masomo yako na tunakutakia kila la heri.

Anonymous said...

HONGERA MKUBWA KWA KULA NONDO

Anonymous said...

hongera sana mkuu umetisha

Anonymous said...

Hongera sana Brigedia Generali Maganga, Mama Maganga (behind every successful man is a strong, supportive woman) na familia nzima kwa ujumla. We are all very proud of you.
Alu and Julius Nyang'oro

Anonymous said...

Nondo za muda gani ? certificate, diploma, Advanced diploma, associate Degree, Bachelor , Masters au Phd?

emmanuel Maganga said...

masomo yalikuwa ya miaka miwili. ametunukiwa diploma katika military science na masters katika Strategic Studies ( MSS)

emmanuel Maganga said...

masomo ya miaka miwili leading to a diploma in military science and a Masters degree in Strategic Studies from the US Army War College.Many thanks for the observations.